Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Shaka ondoa nkamuMama mchungaji na wewe ujitahidi utimize ahadi yako boss wangu
Shaka ondoa nkamuMama mchungaji na wewe ujitahidi utimize ahadi yako boss wangu
Tutakuja kupata na glaucoma sababu ya kukodolea simu siku nzima. Siyo poa kwa kweli. Kuanzia kesho naukacha huu uzi!Mmenichekesha sana nyie wazee muda ule; bora anko ameshalala. Wewe sasa naona simu ipo machoni muda wote[emoji1787][emoji1787]
Moyo wangu usifadhaikeMoyo wangu...View attachment 2148418
Injinia akikosa usingizi leo labda awe na ishu zingine tu. Nani kama Bosi Ledi? [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wacha bwana[emoji3059][emoji3590][emoji3590]
Thank uuuu boss laddy
Kati giza, Yesu mwanga wanguMoyo wangu usifadhaike
Unaye Mungu mkuu sana
Unaye Mungu muweza wa yote
Aliingia moyoni mwangu kanipa kutulia
Kaniambia ewe mwanangu usilielie Tena
Ninajua shida zako Mimi nitazitatua
Bila Yesu mimi ni mtu bure
Wee nipambe tu siku nikianzishiwa vagi la kuchambwa jf mie siwezagi kuongea mwenzio ntakuita uje unitetee ohoo!🚶🏾♀️Wacha bwana[emoji3059][emoji3590][emoji3590]
Hapo hapo boss lediiii
Hizi ndo zenyewe sasa[emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msambwanda ulio ktk ukao wake mujarabu? Uwiiiiiooh lol[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! sio kama Sitaki msambwada shos sema msambwada uwe umeshepika dia[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]🥱🥱!
Angalau nimemuwahi bosi lediThank uuuu boss laddy
Yaani nilale tu sasa hamna namna
Hii nahifadhi kwa matumizi ya baadaye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo ilikuwa siku nzuri kwa kweli. Boss Lady leo kweli alikuwa na furaha na wapenda misambwanda tumefaudu. Thanks Boss Lady [emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 2148416
Kwa nini uchambwe?Wee nipambe tu siku nikianzishiwa vagi la kuchambwa jf mie siwezagi kuongea mwenzio ntakuita uje unitetee ohoo!🚶🏾♀️
🤣🤣🤣🤣🤣 mie simo eng..🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️Thank uuuu boss laddy
Yaani nilale tu sasa hamna namna
Hii nahifadhi kwa matumizi ya baadaye
Atakayejichanganya kukuanzishia wewe niite tu[emoji23]Wee nipambe tu siku nikianzishiwa vagi la kuchambwa jf mie siwezagi kuongea mwenzio ntakuita uje unitetee ohoo![emoji2218]
Kwanza tutakuwa wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nini uchambwe?
Hahahah bora anko anajikazaga, sio wewe MtumishiTutakuja kupata na glaucoma sababu ya kukodolea simu siku nzima. Siyo poa kwa kweli. Kuanzia kesho naukacha huu uzi!
Na usijiaminishe kuwa anko wako kalala. Ukishushwa mzigo mzito hapa si ajabu ukamuona ameangusha laiki kimya kimya hasa ukizingatia kuwa naye ni timu Yutong [emoji16][emoji16][emoji16]
Kijana wa hivi, hata bedroom anaimba pambio za sifa hawana maajabu,khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moyo wangu...View attachment 2148418
One of the best songs everMoyo wangu...View attachment 2148418
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka huu hamna haja ya kufanya jogging; selfika inawajogisha haswa.
Afu inakuwaje sasa Ile picha yangu ya mchana?
Yaani huwa naimba hadi nafeel goosebumps na sauti yangu ya kiitikioOne of the best songs ever