Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo ilikuwa siku nzuri kwa kweli. Boss Lady leo kweli alikuwa na furaha na wapenda misambwanda tumefaudu. Thanks Boss Lady [emoji122][emoji122][emoji122]
2.7878305964801157E18.jpg
 
[emoji2][emoji2]injinia soma hiyooo...
Ahsante kwa kuni0igia debe mkuu
Hii injia inashika kasii I wish I coukd be aijipii[emoji28]
Injinia msomi + lec [emoji122][emoji122][emoji122][emoji1420][emoji1420][emoji1420]

Boss Lady hatakuacha mikono mitupu kamanda. Tusubiri tu hapa hapa...

Tena kuna dalili zote za kupata IGP mpya. Yu kouldu bi ani Aijipii fo rili [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mwaka huu hamna haja ya kufanya jogging; selfika inawajogisha haswa.

Afu inakuwaje sasa Ile picha yangu ya mchana?
Aisee huu uzi kiboko. Na uzee huu leo kidogo nivunjike nyonga. Boss Lady akisema tu video clip loading mi huyooo mbio. Mara paap anko wako naye huyu hapa yuko fulu fosi. Kazi sana yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Injinia msomi + lec [emoji122][emoji122][emoji122][emoji1420][emoji1420][emoji1420]

Boss Lady hatakuacha mikono mitupu kamanda. Tusubiri tu hapa hapa...

Tena kuna dalili zote za kupata IGP mpya. Yu kouldu bi ani Aijipii fo rili [emoji16][emoji16][emoji16]
Ushawishi wako naukubali mkuu boss ameshatoa ahadi unaona sasa
Nakushukuru sana chief
 
Aisee huu uzi kiboko. Na uzee huu leo kidogo nivunjike nyonga. Boss Lady akisema tu video clip loading mi huyooo mbio. Mara paap anko wako naye huyu hapa yuko fulu fosi. Kazi sana yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mmenichekesha sana nyie wazee muda ule; bora anko ameshalala. Wewe sasa naona simu ipo machoni muda wote[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom