Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Nasubiria yakoo sasaHivi mbona hamtumi picha?
Nasubiria yakoo sasaHivi mbona hamtumi picha?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Poa.. Atatoa hela?
Haya bwana.
Aisee jf ya motroo
Nilichogundua humu kuna watoto wakali sana, kama hizo picha ni zao.
Ambacho sikipendi ni kuhusudisha mapombe tu na itakua ni wapenzi wa shisha, kitu kinachowaondolea u-wife material.
Dah !
Naumwa mie, dawa yake picha yako.Mbona kikohozi mdogo wangu?
Nipo hapa naangalia mafurikoUko maeneo ya mtonii
Sio kunijua tuu. Tumeishi pamoja ndani ya nyumba moja.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
cute b eti nakujua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]endiwo
Wewe na picha ni vitu viwili tofauti. Nataka picha.Sio kunijua tuu. Tumeishi pamoja ndani ya nyumba moja.
Wewe ni wa kunikana hadharani?[emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipo hapa naangalia mafuriko
Sasa auntie ndio unataka kusemaje?Mmmhhh
Woyooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1245686
[emoji23][emoji23]asante dear, [emoji85][emoji85]ndiyo nimekumbuka.Mwenyewe nakukubali sana jamani dear
Halafu nakumbuka ulisema wewe ndo dada
Wewe sio wa kusema uko na miguu kama miwa ya nyongeza!Sasa auntie ndio unataka kusemaje?