Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Huko mecho ndiyo wapi mkuu??Niko mecho
Huko mecho ndiyo wapi mkuu??Niko mecho
Hatimaye. Hakika subira yavuta heri. Sijutii kuchelewa kuiona hii picha.I love what I see.
W.end si imeanza jamani? Hebu mtusafishie macho. Ila sio na "henikeni"
Cc Shunie
Nyau weeeee
Mwe mwe mweeeeeh!![emoji134][emoji134]Nyau weeeee
Shemeji...
Poa kabisa.Gabrielle Union mambo vipi ?
Pampula una nini lakini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiendelea kuwataja ukifika kwenye starlet unitag mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi ninayo dah
Simu zenu mbovu.Unaona sasa[emoji38][emoji38]
Hapana, ipo mbona!!!Dooh umeifuta tena??
Mbona hapa kibonge tena?
Polepole mkuu...Nilichogundua humu kuna watoto wakali sana, kama hizo picha ni zao.