Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
asante dear,
ndiyo nimekumbuka.
Dooh kweli nimeamini ukiwa muongo uwe na kumbukumbu







Megundua wewe ni katoto kabisaa!!
asante dear,
ndiyo nimekumbuka.
Dooh kweli nimeamini ukiwa muongo uwe na kumbukumbu







@Depal ukuje huku
EnheSio kunijua tuu. Tumeishi pamoja ndani ya nyumba moja.
Wewe ni wa kunikana hadharani?![]()



mambo si hayo sasa loh hadi vidole vimeniuma ndiyo imetumwa!!


lakini huyu mtu mbona kama namjua wa kuitwa nani vile??Hatimayeee ❤️❤️❤️
Auntie wewe si ulisema yangu umechukua yoteWewe sio wa kusema uko na miguu kama miwa ya nyongeza!


mambo si hayo sasa loh hadi vidole vimeniuma ndiyo imetumwa!!
lakini huyu mtu mbona kama namjua wa kuitwa nani vile??





Usijisahaulishe!!!Dada wa mieeee![]()
23ka miaka mingapi??
Tumegawana jamani auntieAuntie wewe si ulisema yangu umechukua yote![]()
Hapana, ulichukua yote jamani.Tumegawana jamani auntie
Mbona nimekutajia na haujaanguka!!ungenitajia ningeanguka hapa hapa
Abeeeee
Kiruuu, mimi ni 'eji go' eti.
HahahahaKuna mtu anatafuta mume!?