Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,776
- 182,911
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Unajimwambafaiii?
Hapana, nyie wote madogo.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Unajimwambafaiii?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hapana, nyie wote madogo.
Home not alone. Kila mtu naona anadanganya home alone mi siwezi kudanganya kwakweliView attachment 1244952
Yewomiii[emoji134][emoji134][emoji134]Aahaaaa ile shingo ya under 30 kabisa
Pampula[emoji134][emoji134]Sikutaka kunywa leo..ila imetokea tuView attachment 1245605
Hiyo Irente view,maeneo ya Lushoto
Still bachela wakuu weekend hii kihome home huku nangoja EPL View attachment 1245179
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]mwee samahani dadaWe mie kijeba ujue!! Kwa picha hizo wewe ndio mdogo wangu.
Sikutaka kunywa leo..ila imetokea tuView attachment 1245605
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wapi tena huko??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo vistulungi umenikumbusha mbali.
Kuna bibi yangu alikuwa anaita chai isiyo na sukari "sturungi"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wapi tena huko??
Yewomiii[emoji134][emoji134][emoji134]
Over 40.
Pampula[emoji134][emoji134]
Kuna na yeleuwiiiii!!Hyo yewomii ya kichaga umeipata wap?
Hahah hivi we jamaa ni meku?
Sipati picha ukirudi mlimani huwa inakuaje
Kuna na yeleuwiiiii!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aise acha kabisa tuna miguu kama miwa ya nyongeza ya mbuzi minene[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine miguu kama ya mbuzi
Oooh!!!
Lemme google nione vile palivyo
Kule nakunywa kisusio tu