Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi mbona hamtumi picha?
Hivi unajua sijaona picha yako hata moja (ndiyo ni lazima nione[emoji23][emoji23])

Ila seriously Atoto kweli unanifanyia hivi yaani unavizia nikitoka ndiyo utume halafu nikija nakuta umefuta daah, na wewe do the needful basi kama cute b alifuta huku ila akaja kunitumia pm (najua yule ni cute b na wewe ni Atoto[emoji3][emoji3]) fanya fanya basi makeke utupie hayo mapicha hapo fasi ya pm arifu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe cute b alikutumia!! Mie aligoma kunitumia[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom