Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,750
- 182,847
Mguuu!! Hizi fito[emoji134][emoji134][emoji134]Hahaha tuchokoze hata na mguu tu
Mguuu!! Hizi fito[emoji134][emoji134][emoji134]Hahaha tuchokoze hata na mguu tu
Ooooh! Basi hongera.Hapana ndio zimetoka hvyo...mimi nikiamka kesho mtu mwingine kabisa[emoji23][emoji23]
Marahabaaaaa!Aiseee shikamooo....
Ooooh! Basi hongera.
Sasa muda wa kunyata saa ngapi?
Semegi ujue mimi sio mtoto mwenzio[emoji134][emoji134][emoji134]
Haya bwana.Game ya chelsea ikiisha tu
Dah umefuta tena jamani?? Hivi wewe kabila gani??@karma
Mmhh koh kohMarangu napapenda, pana hali ya hewa nzuri. Mwanangu kaolewa huko.
Mbona kikohozi mdogo wangu?Mmhh koh koh
Mwenyewe nakukubali sana jamani dearPopote tu dada angu, au ni vile wajua vyenye nakukubali ndiyo maana unanifanyia hivi.
Naona itakuwaDuuh!. Mkuu mbona mimi naona bonge la JI-NEMBE?
Au simu yangu ina matusi sana?
Uko maeneo ya mtoniiNjoo utanikuta