Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji3531] ulinichanganyaje miee lol!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kipi sasa nawee? Hahahah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Jipe muda ujaribu tena
Smirnoff ina 7% , ni tamu

[emoji1787][emoji23] sauti ikawa nzito? Sijawahi kutana nayo hiyo wala kuisikia.

Amarula je? Ila ina uchungu

Oohh atleast hiyo Smirnoff inaonekana si mbaya ..

Itakuwa mwili ulireact tu aisee maana haujazoea vitu vichungu hivyo [emoji28]... Kiukweli ilinishangaza hiyo wine mara siwezi kutembea ..nahisi kizungu zungu ,kilichonisaidia ni kunywa maji mengi na kuoga baada ya hapo .

Hiyo Amarula siiwezi kama ina uchungu ndo kabisa [emoji23]..
 
[emoji276][emoji276][emoji276]
Plse nielewe hivyo....hapa ndio panaitwa ujajua/hujui [emoji4][emoji4][emoji4][emoji125][emoji125][emoji125][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Back
Top Bottom