Selfika na JF: Snap it. Show it

Sisi kwetu ng'ombe ni Kwa ajili ya kulima mashamba
 
wew na wachambuzi wako UCHWARA kule jukwaani kwenu leo kimya
...sisi tupo kwenye rebuild Ni special Case right now
Man mna rebuild Nini sasa nyie?
Na profesa wenu wa gengeni ..
Yaani hata tukiwapa mcheze na Watu wa Tandahimba sasahivi wanaibuka ushindiπŸ˜ƒ.

Kama nyie wanaume basi tutoeni pale juu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ€£ Pep huyu mtu leo umemfanyeje lakini!!!
 
Man mna rebuild Nini sasa nyie?
Na profesa wenu wa gengeni ..
Yaani hata tukiwapa mcheze na Watu wa Tandahimba sasahivi wanaibuka ushindi
.

Kama nyie wanaume basi tutoeni pale juu.
Yule profesa ndio kamfundisha ukocha klopp alimuokota bar,,Msimu ujao nyie livakuku genge la wahuni tutawapiga nje ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…