Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi nawee umeona? Jaman kwann sasa si ugelala tyuuh,. Hadi ukasave tena lol. Hahahahah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hii picha itafutwe mpaka ipatikane hii. Ilikuwa picha ya aina gani hasa?

Uko class UDSM ama? [emoji16]
 
Hii picha itafutwe mpaka ipatikane hii. Ilikuwa picha ya aina gani hasa?

Uko class UDSM ama? [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntairudia j2 nikiwa mzima, wasijar hawq wasioona, mie mzungu bhana sinaga uswahili, woooooiiiiiiii

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Huo ni mkono wa kulia bana. Nina vidole virefu sanana vimeachana; mara nyingi kwenye picha vinaniharibia pozi hadi nikumbuke kujipozisha; ndiyo maana most of my pics huoni vidole. Afu wahenga wakati mwingine hata Pete hatukumbuki tumeziacha wapi.
Mimi itakuwa heri nisahau kidole sehemu kuliko Pete aiseeeeeee
 
Ma mchungaji bosi ya mabosi ameniahidi wax moja mattatta sana! please naomba nitafutie mshono niitendee haki wax yaukweee!!
Jaribu huu Boss Lady...[emoji16][emoji16][emoji16]

Tumblr_l_799545129280882.jpg
Tumblr_l_799543207861611.jpg
Tumblr_l_799540121074894.jpg
 
Back
Top Bottom