Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Mwanzoni na mimi ilikuwa hivyo hivyo. Siku hizi hata nisipovaa siulizwi [emoji23][emoji23]Mimi itakuwa heri nisahau kidole sehemu kuliko Pete aiseeeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzoni na mimi ilikuwa hivyo hivyo. Siku hizi hata nisipovaa siulizwi [emoji23][emoji23]Mimi itakuwa heri nisahau kidole sehemu kuliko Pete aiseeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi sawaaaahWanawake huwa hawashindwi kutembea vizuri hata wavae nini! Na Boss Lady unavyomuona ni mtu wa kutembea yule? [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanzoni na mimi ilikuwa hivyo hivyo. Siku hizi hata nisipovaa siulizwi [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshono wa pisi 2 au 3?Ma mchungaji bosi ya mabosi ameniahidi wax moja mattatta sana! please naomba nitafutie mshono niitendee haki wax yaukweee!!
Jaribu huu Boss Lady...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2143847View attachment 2143849View attachment 2143850
Hata utukatishe tamaaInabana, so naiwekaga tu sehemu salama. Ntaanza kujishaua nikipata madini mapya ya uzeeniView attachment 2143853
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseeeeh itakuchubua mbna, yaan inakusanya ngozi ya kidole, poleeeh, muambie baba mchungaji akununulie ingne bhana. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Inabana, so naiwekaga tu sehemu salama. Ntaanza kujishaua nikipata madini mapya ya uzeeniView attachment 2143853
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni Mzee wa yutong bana ndiyo ka-recommendAsante ma mchungaji.. ukipata mingine Usinisahau pia! ubarikiwe sana
Hana stress siku hizi; pisi ishajizeekea hakuna wa kuichukua.Aseeeeh itakuchubua mbna, yaan inakusanya ngozi ya kidole, poleeeh, muambie baba mchungaji akununulie ingne bhana. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
AiseeeeeMwanzoni na mimi ilikuwa hivyo hivyo. Siku hizi hata nisipovaa siulizwi [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeh sasa utafanyaje kwa mfano[emoji23][emoji23][emoji23]Hata utukatishe tamaa
Tumeshakubaliana na Shimba Ya Buyenze kua vita ni vya mungu. Hatuteteleki.
Nalia na Mungu avipigane vita vyake. [emoji3][emoji3][emoji3]
ShindwaaaaNalia na Mungu avipigane vita vyake. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi najiweka tayari kuvikwa taji la ushindi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee bado mcharoooh, sema anakuamini mama mchungaji wake. [emoji7][emoji7][emoji7]Hana stress siku hizi; pisi ishajizeekea hakuna wa kuichukua.
Inaingia mbona, ila kutoa ndiyo kama hapo juu sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]Shindwaaaa
Yaani Ukitaka povu linitoke; sifia michepuko. Huwa nanuna hadi huku nasonya tu. mgazeti utashuka tu kiulaini.😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ndo uzee? Hakuna nachekaga nkiona mada ya usaliti afu utoe neno, huwa nawaza unatamanigi kuwenna voice note usikike woiiiiiooh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huwa unajua kushusha gazeti wallah, yaan hata paragraph 6 na zilizojaa maneno woiiiiihYaani Ukitaka povu linitoke; sifia michepuko. Huwa nanuna hadi huku nasonya tu. mgazeti utashuka tu kiulaini.[emoji23][emoji23][emoji23]