cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,160
- 181,296
😂🤣🤣🤣🤣🤣 40/41Akhsante kushukuru
Kwa kweli nikumbushe kesho
Huwa unavaa viatu namba ngapi rafiki yangu kipenzi mzuri?
😂🤣🤣🤣🤣🤣 40/41Akhsante kushukuru
Kwa kweli nikumbushe kesho
Huwa unavaa viatu namba ngapi rafiki yangu kipenzi mzuri?
Una balaa


Selfika na wewe hata nywele tu
Una balaa
Hatari
Hadi
Nikawaza mzagamuo
![]()




kwani umeona wee? Nimeweka hapo mbna sio mda yaan,Selfika na wewe hata nywele tu




Huu uzi bwana dah!
Yaani ukiondoka dakika moja tu unakuta watu wanasifia lips, shingo, viuno, misambwanda dah!
Ukisema ukae hapa napo wakati mwingine hakuna kitu yaani. Ni shida!





poleeeeeh. Ni shida

Mkuu huyo akikuwekea nitaweka familia yangu yote bila imoj.Inauma sana kukuta mtu anasifiwa mzuri halafu hukuthubutu kuuona uzuri/picha yake
Dada yangu kipenzi mzuri Heaven Sent sijawahi kuthubutu kukutwa na picha yako nakuta unasifiwa tu
Fanya wepesi mkuu
Saanaaa..
Maputooo.
Ni shida
Nikadhani
Jukwaa la wakubwa
Limerudi![]()




uko faster wee buddah msieeew, basi kanyagia chini, iwe siri yako tyuuh. Afadhali nimeambulia kakitu. Kutoka kapa aibuu. Thanks Boss lady. You never disappoint




🤣🤣🤣😂😂✌️✌️✌️✌️😜😜😜Maputooo.
Mkuu huyo akikuwekea nitaweka familia yangu yote bila imoj.
Huyo anawekaga kama kimbunga, na harudiagi. Wanaomtingaga sana anawapelekea pm, hao ni wadada tuu.
Halafu unaweza usimuone akichangia saa nne mpaka saa nane usiku, hata umtagi hajibu, jiroge utupie picha, anakuquote anakwambia asante usiku mwema.
Heaven Sent njoo ubishee





mbna huwa anaapost sana mama malezi. Huna bahati naye. Weka tena