Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,525
- 95,982
Pametulia sana hapa! Nimepapenda nipe jina nianze kutunza kibubu☺️karibu Next time tuje wote
View attachment 3675276
Pametulia sana hapa! Nimepapenda nipe jina nianze kutunza kibubu☺️karibu Next time tuje wote
View attachment 3675276
Ulinitumiyaaa😂picha ya vidole vyangu umeitoa wapi😜🤔
Emerald Village - Paje, Zanzibar. Bei utayokutana nayo AirBnB au Booking.com usishangae ndo iyoiyoPametulia sana hapa! Nimepapenda nipe jina nianze kutunza kibubu☺️
Basii tuishie hapo tu! Mambo ya kusave miaka 6 sitoweza!Emerald Village - Paje, Zanzibar. Bei utayokutana nayo AirBnB au Booking.com usishangae ndo iyoiyo
Bei ya kawaida tu, jichange utapoishia nambie niongezee tuje wote. Pako 100/10 😁🔥Basii tuishie hapo tu! Mambo ya kusave miaka 6 sitoweza!
Panaonekana tu si mchezo unaandikia mate👌🏽 Sawa nitajichanga nishtue roho za kimasikini 😁Bei ya kawaida tu, jichange utapoishia nambie niongezee tuje wote. Pako 100/10 😁🔥
Hapo ni lake tanganyika view hotel binti kiziwiWapii migebuka😎
Santana!!
Migebuka yangu naipataje?😎Hapo ni lake tanganyika view hotel binti kiziwi
Akija mwanajf kigoma ntampatia zikiwa na barafu kabisaMigebuka yangu naipataje?😎
Halafu? Mimi nazitaka anonymously 😁Akija mwanajf kigoma ntampatia zikiwa na barafu kabisa
Hapo unahitaji mdada mrembo wa kupoa naye..!! Tafuta watoto wa ki Zanzibar mkuu. 😹View attachment 3675274
Seran Chica Gee binti kiziwi Lamomy Christine_1 Mahondaw win-one tumeni picha tusuuze macho
Migebuka au na mawese kabisaHalafu? Mimi nazitaka anonymously 😁
Maisha haya magumu sana..!! 😹😹
Migebz..Migebuka au na mawese kabisa
Hiyo mifano ya nyuki mi sitaki..Mwanaume ndio anachaguliwa, ndio tunapoint.
Nyuki ndio analifuata ua, sio ua linafuata nyuki
Say no moreMigebz..
Kanda ya ziwa moja hii, nilikua huko wiki iloisha maisha murua kabisa 🔥Kwa ridhaa ya rafiki.View attachment 3675308
Yuuup! Kahama.Kanda ya ziwa moja hii, nilikua huko wiki iloisha maisha murua kabisa 🔥