Wewe unajiwekeaga ya sh ngapi?
Usikute unaweka za mia mbili mbili afu unalishangaa jero la watu??!!!
Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee.
Naona kuna dalili za mtoto wa mwanamke fulani kuwekwa kwenye bango mwaka huu.
Afu mbona unaniamsha nianze kuandika magazeti leo jamani? Kupatwa kwa mndali
Etihamna nazingua tu.. mtu ambe sijamuandika hapo maana yake simkubali wala nini
Aje aambie watu yeye ni usalama wa taifa kutoka Rwanda, daah 🤣🤣Na POPOMA asisahaulike please
Yeye anaenda na upepo wa CCM.Huyo bwege anajifanya kanywa maji ya bendera
Ban huwa zinakuandama sana aisee. Sijui hata huwa unakosa nini yaaniHuyo bwege anajifanya kanywa maji ya bendera
Gazeti fupi kwann? Sijakuzoea hiviMweeh nikahisi nimeanza kupoteza memory nikajisemea mbona leo sio Valentine's day; kumbe sijapoteza bana.
Enjoy binamu yangu mwaya; ni baraka sana kupenda unapopendwa; namaanisha. Sio Kila mtu amepata nafasi ya kuexperience "mapenzi" ya kweli in lifetime. And the wisest part of you ni kwamba uliamua kumuachilia aliyetaka kuondoka; ukaamua kusamehe na kuendelea mbele; hukubeba uchungu, hasira wala kinyongo. Ungeendelea kumshikilia leo hii ukabeba mauchungu na mahasira yake; hata Mungu akuletea Malaika ungempoteza tu kwa sababu usingeweza kuuona weka/uzuri wake upo busy unawashikilia watu waliokwisha ondoka kwenye maisha yako.
Mshukuru Mungu sana kwa neema ya msamaha; coz for a fact hakuna watu wagumu kudeal nao kwenye mahusiano kama Divorcees; majority wanaishi na bitterness na wapo so frustrated; kwa sababu mioyo yao imejawa na majeraha bado; but see you have come to accept everything finally and move in peace. Aisee uendelee kuvunjaga na hilo agano la ndoa yako iliyopita lisije likanena/kwenda kinyume na ndoa yako mpya. Love is a very beautiful thing; enjoy bina
View attachment 2143507
Very happy Women's day Kwa huyu aliyenitengenezea mboga hii ya Mlenda na Kisamvu
Ndiyo maana nimeanza kupata mwili kama wa JB na Peter Msechu
Happy Women's day to beautiful mother's out there.
Mambo mengi mdogo angu
Tafadhali sana
Nimekuita unitetee kesi yangu kwa binamu yakoya kupita bila kumsalimia.
Sijakuita ulete igwe zako aiseee
Usitoke nje ya mada.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kifua chako ni kama nusu mbili za komamanga, itoshe tu kusema kwamba ntakufaidi 🤣🤣🤣
Hahaaa vipi walimsupport mtoa mada au walimcriticiseDah!
Kuna jamaa alianzisha uzi akiwaomba Mods wampige ban ya maisha huyu mwamba na akatoa ultimatum kuwa kama hawatafanya hivyo basi yeye ataondoka JF jumla. Comments za wadau sasa zilinivunja mbavu. Haukukaa sana uzi mods wakaufuta
Ban huwa zinakuandama sana aisee. Sijui hata huwa unakosa nini yaani
Happy women's day kwa yule mama aisee
Alichoropoa kitu perfect yaani
Yaani umekajibu hapa,Hadi kaje kuona reply yako ni keshokutwa.Mambo mengi mdogo angu
Shemeji nimepataKifua chako ni kama nusu mbili za komamanga, itoshe tu kusema kwamba ntakufaidi 🤣🤣🤣
99.99% walimsapotiHahaaa vipi walimsupport mtoa mada au walimcriticise