Selfika na JF: Snap it. Show it

Senkyuuu hizo zawadi tunapata lini [emoji848][emoji848]
 
Wanaume leo tumeitwa nguruwepori - jina baya kabisa na lenye kudhalilisha sana dah! Wanaume tunakwama wapi?

Njooni tukae kikao tujadili hili suala aisee maana siyo poa! [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaaah, kimeumanaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2]tulikubaliana hakuna kua singo kwenye kikao cha Leo mkwee!komaa nao tu hvyo hvyoo!!!
Au uanze kuhonga kama maloveee!!![emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Aisee, huyo mdau ana special seat mbinguni 🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sina mbavu wallah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kabisa
Imeisha Kwa mbili hiyo,,bila Baki


Guruwe lolote lipambane na hali yake huko duniani kwenye makurubembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yakuache kabisa dada mzuri aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…