Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Kabisaa kiongozi.Naam mkuu! Kila mtu anayepita maishani mwetu ana kazi yake. Ukilitambua hili hutamng'ang'ania mtu abakie maishani mwako ilhali pengine kazi aliyotumwa kuitimiza keshaimaliza. Yote ni kumshukuru Mungu tu na kusonga mbele.
Nguruwepori hoyeee !!!![]()
Kila kitu hutokea Kwa sababu aisee.
Wasitutenge manguruwe pori jamani









Nawasimanga nguruwe pori wakati hata Mimi nahisi nilikuwa kundi la nguruwe pori










