Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hayo "manguruwepori" hayo yalishamaliza kazi yaliyotumwa kuifanya - kukuandaa na kukuweka tayari. Usingekuwa hivyo ulivyo leo bila ya hayo manguruwe pori. Ungewezaje kuujua upendo wa kweli bila kupitia kwa hayo manguruwe pori? Almasi yawezaje kuwa yenye thamani, imara na yenye kung'ara sana bila kupita katika moto mkali na mgandamizo wa kutisha?
Umesema kweli mzee mwenzangu.

Na msemakweli ni mpenzi wa Mungu, hili linafahamika wazi
 
Sjambo kabisa Shem wa kimataifa. Shemeji nimeota umewekwa kwenye bango unavyoingia tu Mbeya; wana-Mbeya tunajivunia wewe
Na iwe kama ulivyoota shem wangu.

Wangeweka pale njia pande ya Mbozi kama unatokea Mbarali itakua safi sana.

Pia nadhani zisitumike zile picha zangu zenye bodygurad wangu...

Hii hapa ni safi sana.

FK-LFtJXsAAvJVp.jpg
 
Back
Top Bottom