Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Si bangi ishapanda kichwani,sasa mnaongea lugha MojaTunapikika chungu kimoja
Si bangi ishapanda kichwani,sasa mnaongea lugha MojaTunapikika chungu kimoja

Daah sijui kama atapumua siku hiyo mtu fudengeZawadi yako nimeificha moyoni shem....zawadi ya sita sasa hii
Mi najua basi mkuu? Nimedandia treni kwa mbele kwa kamanda Pep aliposema wanajamvi wote tuseme Ameeeen!Harusi Gani Tena mkuu?
Usiwaze nami namalizia kupika hapa..Nyie msitume vocha naanza kupika ntakosa jamani@Mahonda,elly na mjep na Leo mmechalala balaaa
Oh kiongozi sawaMi najua basi mkuu? Nimedandia treni kwa mbele kwa kamanda Pep aliposema wanajamvi wote tuseme Ameeeen!
ubarikiwe sana mkuu! Bila shaka aloipata ashaleta mrejesho.shukrani
Mi naomba kamati ya vinywaji au msosi visinipite...kwa gharama yo yote ile!Amen
Umeupiga mwingi mzee mwenzangu
Confirmed, wanajamvi wote...
Mtu pekee sitaki kuona ameweka mguu pale ni Bia Yetu
Sisemi uongo ndugu yangu
Nishindwe kupumua na kaka yupo???Daah sijui kama atapumua siku hiyo mtu fudenge
Achana na mpiraNa Kepa wenu akawauza 😂😂😂😂
Mimi na bia yetu nitakuwa kamati ya uenezi wa sera za chama pendwa chaa mbogamboga.Mi naomba kamati ya vinywaji au msosi visinipite...kwa gharama yo yote ile!
Pamoja sana msukuma..! Mie leo niko ful package yani....nami vocha zangu ntazitupia mida .
I know you know how much i need this moment to come.Achana na mpira
Tuongee mambo ya msingi...
Will you lend me a kiss mtoto mzuri? I promise to give it back
Wehu ni wehusi? au hiyo ni niniNyie wote ni wehu😂😂😂😂😂😂😂
Mie sina hiyana kabisa na selfii..hebu nimalizie kupika hapa kwanza
Namuongeza Kawe Alumni....nisimuone🤣🤣🤣🤣
Sasa mbona Mimi na bia yetu tunataka kuwa wanakamati wakuu kwenye hiyo harusi yenu😁
Aaaaaaaah nimefumba machoAchana na mpira
Tuongee mambo ya msingi...
Will you lend me a kiss mtoto mzuri? I promise to give it back
Hapa hatujaenda vakesheni badoDaah sijui kama atapumua siku hiyo mtu fudenge