Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,774
- 256,812
nyororooooo kama ngozi ya kitoto kichanga 😏😏😏😏
Hovyooooh msieeeeew,nyororooooo kama ngozi ya kitoto kichanga![]()




Ni kweli mamyKweli haujengwi kwa matofali.... sio mchezo na mwili unaonekana kabisa!! Hope you enjoyed your meal dia!
Brazil ya Tz ( Rock City )
😭😭😭😭😪😪😪😪😪 nitakusema
Utanisema kwa nani? Hebu nambie kwani uwiiiihnitakusema
kwa bolo young 😁😁Utanisema kwa nani? Hebu nambie kwani uwiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Labda kibamia, hakuna bollo young hapoo,kwa bolo young![]()





Yan kwamba mguu wangu ndio paja lako? 😝
Kudadeki zako 😄😄wallah kikoba nimeanza kucheza tangu niko 4m 5, pesa za matumizi napewa, mie namuachia mama zote anipelekee ktk kikoba, afu shule naenda mkavu, ikifikia kuisha mama ananipa taarifa, then mie naomba kwa mshua, akituma zote nna 4ward kwa mama tena uwiiiih,
Nshazoea yaan sahivi, usiulize shule nlikua naishi vipi?hilo sasa n private, mama namuambia mie shule naishi kibishii, anakubali na ananiona mtafutaji sana.
Sehemu ya field hilo pia nisaidie, ila kuwe na vibopa lakini.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Byurful. AhsanteeeeUlichelewa kusave?
Haya save hiyo 🤣🤣View attachment 2142171
Nielekeze kusave UTT my friendKudadeki zako
Karibu pia basi tusave UTT
Beautiful
Bina selfika baasiNjoo tunywe Coca na maparachichiView attachment 2142143View attachment 2142144
So cute...Ulichelewa kusave?
Haya save hiyo 🤣🤣View attachment 2142171
Depal dimpoo.Ulichelewa kusave?
Haya save hiyo 🤣🤣View attachment 2142171
Nimecheka mpaka nimepariwa na tunda ya ubuyu 🤣🤣🤣wee imekunjamana, afu km huvai mkanda, mbna hapo kwa lisani pamejikusanya? Woiiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app