Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Amen na mojawapo ikiwa ni kukuona live [emoji4][emoji4]Huu mwaka Mungu atakuletea surprises za kutosha [emoji23][emoji23]
Amen na mojawapo ikiwa ni kukuona live [emoji4][emoji4]Huu mwaka Mungu atakuletea surprises za kutosha [emoji23][emoji23]
Heheee, kijana una mke wa kufua?Na nikifika chumba jajirusha tuu tii [emoji16][emoji16] shuka itafuta vumbi
Kutakuwa hakuna jipya lakini; angalau sasa hivi mnajua naonekanajeUsitufanyie hivyo asee [emoji3064][emoji3064]
Daah itabidi nikufanyie surprise moja Kali kabla mwaka haujaishaAmen na mojawapo ikiwa ni kukuona live [emoji4][emoji4]
mkuu si kuna machine za kufulia na hizi ndio kazi zake, unarudi kupumzisha fuvu umepuyanga zaidi ya 50km.. nianze kuoga oga kutafuta nini 😁😁😁😁 cha kwanza nikiinga nawasha AC kama suport document ya kupata usingiziHeheee, kijana una mke wa kufua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado bado kwani jaman,Nani huyo tena jamani?
Na Mimi huwaga namnyanyasa kwenye anga zangu Fulani[emoji23].We si unasemaga unajua pa kumpata usituzunguke [emoji3][emoji3]
Halafu nimekumiss siku hizi unapotea kama balimi [emoji849][emoji849]
Na kanafyatuka kwelikweliKameelewa sana sema kanajifyatua akili tu hapa [emoji1787][emoji1787]
Ngoja kwanza nimalizane na muhindi maana nahisi kama maelekezo ni mengi sana.Nielekeze kusave UTT my friend
Ona sasa uchoyo wako wa picha unaanza kufanya watu wahisi Nina picha Zako kumbe hata Mimi ulininyima.Anawazunguka eeh?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijui, sawazisha tafadhariKutakuwa hakuna jipya lakini; angalau sasa hivi mnajua naonekanaje
Amenishtua sanaHizo bange anazokunywa...
Hapo kukwaa samaki tyuuh. Au kutega na mtunungu wee nyomiiiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtembeaji mashuhuriView attachment 2142250
Kwa kweli, you know nothing[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UTT si inahusu watoto au mie siwaelewagi vizuri matangazo yao?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee? Sisi introvert mambo yote tunamalizia hapa JF, huku uraiani ni upole mwa mwi yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amenishtua sana
Namuona kama toleo la kufungia first quarter ya 2022
Mtu na nyota yako ya kupitwa 😂😂😂Mimi sijui, sawazisha tafadhari
Mashine haitakatishi nguo. Hatupo Switzerland Wala Canada hapa ni 30°c . kola inachafuka vilivyo haiwezekani ikatakata kwa kuzungushwa tu.mkuu si kuna machine za kufulia na hizi ndio kazi zake, unarudi kupumzisha fuvu umepuyanga zaidi ya 50km.. nianze kuoga oga kutafuta nini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] cha kwanza nikiinga nawasha AC kama suport document ya kupata usingizi
Basi utanipa hilo darasa, huwa siachagi fursa mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli you know nothing