Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Mar 7, 2022 #154,961 reymage said: Bina selfika baasi Click to expand... Jana ulikuwa wapi kwani?
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Mar 7, 2022 #154,962 Depal said: Nimecheka mpaka nimepariwa na tunda ya ubuyu We mtoto leo mbona umeranduka sana? Click to expand... Hizo bange anazokunywa...
Depal said: Nimecheka mpaka nimepariwa na tunda ya ubuyu We mtoto leo mbona umeranduka sana? Click to expand... Hizo bange anazokunywa...
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Mar 7, 2022 #154,963 Heaven Sent said: Anawazunguka eeh? Click to expand... Ee kanajifanya hakana picha zako wakati kanazo full kabisa
Heaven Sent said: Anawazunguka eeh? Click to expand... Ee kanajifanya hakana picha zako wakati kanazo full kabisa
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Mar 7, 2022 #154,964 Heaven Sent said: Nimeokoka mwaka huu, subirini mwakani Click to expand... Kwamba mwakani tutaanza kuzisikia picha zako bombani
Heaven Sent said: Nimeokoka mwaka huu, subirini mwakani Click to expand... Kwamba mwakani tutaanza kuzisikia picha zako bombani
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 7, 2022 #154,965 Depal said: Yan kwamba mguu wangu ndio paja lako? Click to expand... Kabisaaaa Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Depal said: Yan kwamba mguu wangu ndio paja lako? Click to expand... Kabisaaaa Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Mar 7, 2022 #154,966 Karma said: Ee kanajifanya hakana picha zako wakati kanazo full kabisa Click to expand... Kumbe eeh? ππππ
Karma said: Ee kanajifanya hakana picha zako wakati kanazo full kabisa Click to expand... Kumbe eeh? ππππ
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Mar 7, 2022 #154,967 Karma said: Kwamba mwakani tutaanza kuzisikia picha zako bombani Click to expand... Eeh zitapotea kama previous yearsππ
Karma said: Kwamba mwakani tutaanza kuzisikia picha zako bombani Click to expand... Eeh zitapotea kama previous yearsππ
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 7, 2022 #154,968 Depal said: Kudadeki zako Karibu pia basi tusave UTT Click to expand... UTT si inahusu watoto au mie siwaelewagi vizuri matangazo yao? Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Depal said: Kudadeki zako Karibu pia basi tusave UTT Click to expand... UTT si inahusu watoto au mie siwaelewagi vizuri matangazo yao? Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 7, 2022 #154,969 mahondaw said: So cute... Click to expand... Sijaona mie yaan, Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
mahondaw said: So cute... Click to expand... Sijaona mie yaan, Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Mar 7, 2022 #154,970 Heaven Sent said: Kama naliona hilo bichwa sasa Click to expand... Yaani nimesoma ile comment mara kumi kumi maana sijaamini kama ni wewe ndiyo umeniambia vile
Heaven Sent said: Kama naliona hilo bichwa sasa Click to expand... Yaani nimesoma ile comment mara kumi kumi maana sijaamini kama ni wewe ndiyo umeniambia vile
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Mar 7, 2022 #154,971 Karma said: Yaani nimesoma ile comment mara kumi kumi maana sijaamini kama ni wewe ndiyo umeniambia vile Click to expand... Huu mwaka Mungu atakuletea surprises za kutosha ππ
Karma said: Yaani nimesoma ile comment mara kumi kumi maana sijaamini kama ni wewe ndiyo umeniambia vile Click to expand... Huu mwaka Mungu atakuletea surprises za kutosha ππ
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Mar 7, 2022 #154,972 9.8ms squared said: unataka nikadeke wepi sema sasa sema sasa Click to expand... Kaone kalivo kasumbufu
9.8ms squared said: unataka nikadeke wepi sema sasa sema sasa Click to expand... Kaone kalivo kasumbufu
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 7, 2022 #154,973 Depal said: Nimecheka mpaka nimepariwa na tunda ya ubuyu We mtoto leo mbona umeranduka sana? Click to expand... kweli ivi au wee hiyo suruali yake hujaona? Kaangalie afu nambie. Hahahah Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Depal said: Nimecheka mpaka nimepariwa na tunda ya ubuyu We mtoto leo mbona umeranduka sana? Click to expand... kweli ivi au wee hiyo suruali yake hujaona? Kaangalie afu nambie. Hahahah Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Mar 7, 2022 #154,974 Karma said: Kaone kalivo kasumbufu Click to expand... ππππππ sawa tu
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 7, 2022 #154,975 Heaven Sent said: Hizo bange anazokunywa... Click to expand... mama malezi, mie nakunywa bange kweli? Hebu nionee huruma, mbna unataka kunipeperushia bahat yangu? Kuna mtu ananiona mie person material, yaan anagalagazwa na mie vilivyo. Uwiiiiiih Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Heaven Sent said: Hizo bange anazokunywa... Click to expand... mama malezi, mie nakunywa bange kweli? Hebu nionee huruma, mbna unataka kunipeperushia bahat yangu? Kuna mtu ananiona mie person material, yaan anagalagazwa na mie vilivyo. Uwiiiiiih Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Mar 7, 2022 #154,976 9.8ms squared said: View attachment 2142124View attachment 2142123 Click to expand... Duuh. Wapenda visendo
9.8ms squared said: View attachment 2142124View attachment 2142123 Click to expand... Duuh. Wapenda visendo
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Mar 7, 2022 #154,977 cocastic said: mama malezi, mie nakunywa bange kweli? Hebu nionee huruma, mbna unataka kunipeperushia bahat yangu? Kuna mtu ananiona mie person material, yaan anagalagazwa na mie vilivyo. Uwiiiiiih Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app Click to expand... Nani huyo tena jamani?
cocastic said: mama malezi, mie nakunywa bange kweli? Hebu nionee huruma, mbna unataka kunipeperushia bahat yangu? Kuna mtu ananiona mie person material, yaan anagalagazwa na mie vilivyo. Uwiiiiiih Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app Click to expand... Nani huyo tena jamani?
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Mar 7, 2022 #154,978 Heaven Sent said: Kumbe eeh? Click to expand... Endiwooo
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Mar 7, 2022 #154,979 Kashaija72 said: Duuh. Wapenda visendo Click to expand... Na nikifika chumba jajirusha tuu tii ππ shuka itafuta vumbi
Kashaija72 said: Duuh. Wapenda visendo Click to expand... Na nikifika chumba jajirusha tuu tii ππ shuka itafuta vumbi
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Mar 7, 2022 #154,980 Heaven Sent said: Eeh zitapotea kama previous years Click to expand... Usitufanyie hivyo asee