Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kibati? Mtoto mdogo unacheza vibati vya nini

Nikutaftie spouse? Haki ya kweli, labda nikusaidie kutafuta sehemu ya kufanyia field
wallah kikoba nimeanza kucheza tangu niko 4m 5, pesa za matumizi napewa, mie namuachia mama zote anipelekee ktk kikoba, afu shule naenda mkavu, ikifikia kuisha mama ananipa taarifa, then mie naomba kwa mshua, akituma zote nna 4ward kwa mama tena uwiiiih,

Nshazoea yaan sahivi, usiulize shule nlikua naishi vipi? hilo sasa n private, mama namuambia mie shule naishi kibishii, anakubali na ananiona mtafutaji sana.

Sehemu ya field hilo pia nisaidie, ila kuwe na vibopa lakini.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
IMG_20201028_010350-01.jpg
 
Back
Top Bottom