Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Usivae tu mask wala kuweka emoji la kukuziba hewa😂😂Kaka hapa hapa usitoke nkamu
Usivae tu mask wala kuweka emoji la kukuziba hewa😂😂Kaka hapa hapa usitoke nkamu
Baadaye nikishatoka. Tusije tukakutana mipuyangoni na minguo yangu.😂😂😂Heaven Sent mama mtumishi hebu weka ya leo ukiwa kazini, [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590], niko pekee angu hapa.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Umeuona mzigoo??😅😅Usivae tu mask wala kuweka emoji la kukuziba hewa😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 eti kaongo weweKwendaa
Kaongo wewe.
Kwanza nipe picha yako,sikuona.
Wapiiii?Umeuona mzigoo??😅😅
Khaaaa rudia tena basiNimeshusha hapa hapa na umekaa 15 seconds
mtu chake ameona muulize
Ushahidi wa screenshot huu hapa na ulitagiwa kabisaaa😅😅Wapiiii?
Daah nkamu rudia basi mara ya mwisho
Unasinzia sana nkamu unaniangushaDaah nkamu rudia basi mara ya mwisho
Vipi badooo? [emoji23][emoji23][emoji23]Nakushushia mzigo live hapa bila chenga usitoke
Uzee ndugu yanguUnasinzia sana nkamu unaniangusha
Haya usipepese macho kitu kinakuja live bila chengaaa
Umepitwaaaaaaa
😪😪😪😪😪😪
Ntasinzia nkamu. HayupoooKama namuona Saint Anne alivyoshilia reflesh akisubiri picha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kazi kwenu