Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
WachaaMmh sidhani rafiki ..
Tunalazimisha tu kuvaa viatu virefu , mguu mdogo kwa muonekano ila namba ya kiatu ni 40 na kitu huko .
WachaaMmh sidhani rafiki ..
Tunalazimisha tu kuvaa viatu virefu , mguu mdogo kwa muonekano ila namba ya kiatu ni 40 na kitu huko .
Nilimuonea huruma mie,naimagine picha haijiiiiiii
!!!



huku nacheka yaanHahaWachaa
Wamejikausha kama hawachezi hivi.. uwatoe tuu wavu wa ine hukooNitakusaidia kuwatoa mbele
Mweeeh
Sasa mbona Hilo weave ndio nilikuwa nalisuka miaka nenda miaka Rudi Hadi nikachoka nikaacha



suka na rasta bhana, mie ndo nmezoea kukuona hivyo.Imagine unacheka kwa huruma 🤣🤣😂!Nilimuonea huruma mie,huku nacheka yaan
Ushauri muruasuka na rasta bhana, mie ndo nmezoea kukuona hivyo.

Imagine unacheka kwa huruma!




yaan anabiringika km hataki, naye n bonge hivyo, nyama zinalamba tiles tyuuh, baadae ye mwenyew kaanza kucheka, yaan km furushi la mzigo linasererekan tyuuh 





Ushauri murua
Sasa ulikuwa unaogopa nini
Kaone![]()




wee leo uko na mie tyuuh? Muone vile ushalewa hapo, na bado kipigo cha city woiiiiihSasa Rasta nimeanza siku hizi.suka na rasta bhana, mie ndo nmezoea kukuona hivyo.
🤣🤣🤣😂😂😂Niache shos! unaniua mbavu hukuuuuuuu🙆🙆🙆🙆🙆🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂!!!!yaan anabiringika km hataki, naye n bonge hivyo, nyama zinalamba tiles tyuuh, baadae ye mwenyew kaanza kucheka, yaan km furushi la mzigo linasererekan tyuuh
![]()
Ajali kazini😂💛dada angu aliwahi biringika toka ngazi ya juu hadi chini. Lol
Uje tuanze mazoezi chap. Aisee na hilo guu lako sikupatii picha utakavyotaradadiNaomba training ya kutembelea high heels... jana nilitia aibu 🤣🤣🤣😜😜!! Badae ntaselfika uone nivokua natembelea ukutani yani bila kushika ukuta/ Kitu utacheka ufeeee🤣🤣!!
Wewe at least Nina imani na mwili wakoSoon namuacha pekeyake kwenye ukimbaombao
Relaxacha tu.. hapa penyewe nimechukue suite ila cha ajabu usingizi haupo wala hakuna dalili.. jamani 😔😔😔
Hahaaaahhhh! jana nusura nidondoke mweh!!Uje tuanze mazoezi chap. Aisee na hilo guu lako sikupatii picha utakavyotaradadi
Uwe unabeba na flats. Ukihisi umeanza kuchoka unagonga flats miguu inarelaxHahaaaahhhh! jana nusura nidondoke mweh!!