Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Doooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hapa umekuwa mkweli
Acha unafiki.
Mbona hamjawahi nisifia na hizo short hair.
Doooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hapa umekuwa mkweli
Wewe nae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua ila wee ulikua unaelekea wapi?
HapanaUsinambie ni trip ya unyakini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza nongwaUsinambie ni trip ya unyakini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh sidhani rafiki ..Mbona unapendezea
Una mguu wa kiatu
Eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee kwann ni mgomvi sana? Mie sitaki ugombanishi lol[emoji1787][emoji1787]
Hapa umekuwa mkweli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 naimagine picha haijiiiiiii😂😂😂😂!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada angu aliwahi biringika toka ngazi ya juu hadi chini. Lol
Nitakusaidia kuwatoa mbeleWale wa Mwanitesa united wapite mbele [emoji1][emoji1]
acha tu.. hapa penyewe nimechukue suite ila cha ajabu usingizi haupo wala hakuna dalili.. jamani 😔😔😔Mwili unapewa raha huo, basi tu umegoma kubongeka
Usiwasikilize, weka short hair, au suka mitindo mbali mbali, usi weave.Kuna watu wananidis nazo..wanasema sijiweki kidada
Lol asante dia!!✌️😂😂😂😂Mkanda bana tumbo umehusika hapo
Kaa kwa utulivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aya Anza kubet basi.
Unadhani Nini kilitokea hapo?
Mweeeh[emoji1787]Usiwasikilize, weka short hair, au suka mitindo mbali mbali, usi weave.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo unimeamulia wallah.Punguza nongwa
[emoji1787][emoji1787]Wale wa Mwanitesa united wapite mbele [emoji1][emoji1]
Kwako Wige[emoji23][emoji23]Kaa kwa utulivu[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena niwaone hapaaaah.Wale wa Mwanitesa united wapite mbele [emoji1][emoji1]
Ooooh hapo sawa.Hapana
Nilikuwepo tu
Mie yasiyomo hayamo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe nae
Ebu jiselfie
Tuone yaliyomo