Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,026
Ndio nilifanya hivi weeehh mbona wangeniokota !! Nilitembea step kadhaaa nikaona kabisa huku nakoelekea siko nikabadiliUwe unabeba na flats. Ukihiwi umeanza kuchoka unagonga flats miguu inarelax
Sent using Jamii Forums mobile app