cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko mnahamia sehemu ya mashabiki kusakata game? Watu weuweeeeehKuna mda mechi inachezwa bila mashabiki sababu ya covid 19
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko mnahamia sehemu ya mashabiki kusakata game? Watu weuweeeeehKuna mda mechi inachezwa bila mashabiki sababu ya covid 19
Hii reply imenitia genye.. utasababisha niombe mechi ya kirafiki kutest mjegeja!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuuu mie peke yangu haniwezi, yeye anataka watoto wasiojua kitu ili awa win,. Sasa mie expert kila kitu najua hadi shetani mwenyewe anachukua notes kwangu ataniweza wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ego mnywani! kasingeOnyweo akatangawizi akalikubabula amaraka olaikyam
Aiiiiish.. Jf ina warembo jamani[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji881][emoji881]View attachment 2138976
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko mnahamia sehemu ya mashabiki kusakata game? Watu weuweeeeeh
Kaa Kwa utulivu si kila mtu anapenda vimbaumbau.hallelujahDuh huu sio utaam hiyi too much hebu fanya zoezi bhana
Kila la heri
Niko bize sn siku hizi dear..Kwa nn usiniite lkn kuja kusafisha macho?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepitwa jana full watu kuweka selfie, palidamshii vibayaaa, uwiiiiih
Umependezajeee!!✌️✌️✌️♥️♥️♥️[emoji881][emoji881]View attachment 2138976
Ahahah ili jibu limekosa msonyo tuKaa Kwa utulivu si kila mtu anapenda vimbaumbau.hallelujah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambieni mama kanisahau huku, nilikuwa shopping ndege ikaniacha[emoji23][emoji23][emoji23] wanawake tunawezaje[emoji12][emoji12]View attachment 2138965
Habari yako handsome 😉😉😉Utamuuu[emoji39][emoji39]..paja km paja
Nipo mamaDr upo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi nimejisikia aibu. Jomoneeeh lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi sana weeUnder 17..tano kasoro..[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2138982
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poaaah karibu.Nipo mama
Safi mrembo..nimekumisiHabari yako handsome [emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh wee kuwa buzzy na wagonjwa bhana, awww lolNiko bize sn siku hizi dear..Kwa nn usiniite lkn kuja kusafisha macho?
Hivi Depal yupo humu ndani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poaaah karibu.
Msonyo nimeuficha kwa ndani ukiutafuta utauona umetulia tuliii…Ahahah ili jibu limekosa msonyo tu