South or Central ??Mi sina jipya Boss Lady. Na uzee huu wa miaka 76 hata nikiselfika hakuna lo lote la maana. Nipo hapa najisomea huku nikiangalia neema za Allah zikiogelea...Muumba fundi sana yaani!
We leo utaselfika?
View attachment 2136674
😃😃😃dah hii imenipita Tinsley tupia tena
🤣🤣🤣🧚🧚🧚🏃♀️🏃♀️Ngoja nikafikirie nitakujibu, ila sasa shida yako hata nikikubali mapenzi yako ni ya public tu, tukiwa 'chobis' unakuwa mjeuri hatari..!!😂😂
Kila la heri mkuuDeparture 0600hr
transit NRB
Arrival 1230hr
Luano.
PW
Niliikosa mama mchungaji, nilikua nina like huku nasinzia inabidi leo arudieMjep una upako wiki hii
Rey usinifanyie hivi, hii inabidi irudiweeee
Zamu yangu ni leo boss lady jana nilikua hoiiMjep ushaselfika leo??
Usimwache tafadhari.Kuna mzungu hapa ana umbo la Kinyaki. Yaani ana shundu la uhakika. Kanifuma namwangalia akaishia kutabasamu tu. Ngoja nione itakavyokuwa. Nitaleta mrejesho![]()
😃😃😃 weee hakuna kibunda cha freee wala ku download kibundaaaa.. kazi kazi.. Tuna miiko mitatu.. Uvumilivu ( ili kuwa katika mda sahihi na entry sahihi), Risk Management ( usipoteze capital, usipoteze, win:lose.. win ratio iwe kubwa zaidi, lot size calculation etc), usipoteze pesa.. na hii ndio sheria mama.. 😎😎😎😎... zingine ni mbinu kama mbinu zingine ambazo zinakuja na aina ambayo unataka.. But Forex ni hatariEndelea endelea....maana nimeanza kusikia harufu ya free 💰 🤑 kwa mbaaaali 😋
Unarudi Congo au ??Departure 0600hr
transit NRB
Arrival 1230hr
Luano.
PW
Chai na lemon safii sana.. na katangawizi kwa mbaali