T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,092
Depal![]()
It’s srobaki sazdei, ngoja nikayatafute ya chobis nikuprove wrong.
Depal![]()
It’s srobaki sazdei, ngoja nikayatafute ya chobis nikuprove wrong.
😁😁😁 Sasa ntafanyaje na mie nataka easy pesa? 🙄🙄🙄😃😃😃 weee hakuna kibunda cha freee wala ku download kibundaaaa.. kazi kazi.. Tuna miiko mitatu.. Uvumilivu ( ili kuwa katika mda sahihi na entry sahihi), Risk Management ( usipoteze capital, usipoteze, win:lose.. win ratio iwe kubwa zaidi, lot size calculation etc), usipoteze pesa.. na hii ndio sheria mama.. 😎😎😎😎... zingine ni mbinu kama mbinu zingine ambazo zinakuja na aina ambayo unataka.. But Forex ni hatari
Yupp.. kama ulikuwepo.Chai na lemon safii sana.. na katangawizi kwa mbaali
Sawa rafiki Usisahau kunitag.Zamu yangu ni leo boss lady jana nilikua hoii
Pesa ya easy haipogooo.. siku ukisia mahala kuna pesa ya easy ni tag mkuu 😎😎😁😁😁 Sasa ntafanyaje na mie nataka easy pesa? 🙄🙄🙄
On a serious note though.. Hapo kwenye uvumilivu hapo, ni pakutilia mkazo zaidi 🤝🏾
Forex ni yenu mloi-master aiseee..mi ngoja niwaangalie kwa mbali tu.🙂
Nimetazama tu rangi yake nimejua.. huwa inanoga hadi kisogoniYupp.. kama ulikuwepo.
Ningekuwa sio mvivu nakunywa kila siku mfululizo ningekuwa mbali sana.🥴
Na nikiku-tag ujue kabisa kuwa wewe ndo huyo easypesa mwenyewe 😁😁Pesa ya easy haipogooo.. siku ukisia mahala kuna pesa ya easy ni tag mkuu 😎😎
Na nikiku-tag ujue kabisa kuwa wewe ndo huyo easypesa mwenyewe![]()




aisee nimecheka sana 9.8ms squared wew ndio utakua easy pesaMnatuoneaga sanaaa kwakweli 😊😊😊..Na nikiku-tag ujue kabisa kuwa wewe ndo huyo easypesa mwenyewe 😁😁
Wanyonge tunaonewa Sana na mtetezi wetu magufuli alishatanguliaMnatuoneaga sanaaa kwakweli..
😃😃 na changamoto hatuwezi kukaza mazima.. la sivyo tutakufa na njaaWanyonge tunaonewa Sana na mtetezi wetu magufuli alishatangulia
hahahaha.narudi porini rafiki mjeda. Mambo vp lkn?Unarudi Congo au ??
Uncle wangu yupo salama 😎hahahaha.narudi porini rafiki mjeda. Mambo vp lkn?
😂😂😂
Nilikuwa napenda sana low level programming language kwa ajiri ya ma embedded systems.. sema dah mfumo wa elimu sio rafiki nimeishia kuwa tapeli tu 😢😢😢#TBT These pics with my AISJ t-shirt on got me feeling nostalgic so I started looking into my old school.View attachment 2137005
View attachment 2137019
So many memories came rushing.....🤯
Na panafanana vile vile ☺View attachment 2137010View attachment 2137011
Ila nilivyoona hii I was like ROBOTS?? CODING??.....in the middle school!🤗 Nimebaki kutamani siku moja education system yetu ije kuwa this practical....hata kama itachukua miaka 100 🤞🏾🤞🏾
View attachment 2137012
uncle yupi tenaUncle wangu yupo salama 😎
ahahaha atakuja kukusalimia tulia tuuncle yupi tena