Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakaziaaaaaaaaaa...
Nishajibu mbona? [emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20220302-154510.jpg
 
Kumbe unajua kuna moto?
Ndiyo. Tunatishwa eti kuna moto kwetu sisi wapenda misambwanda japo wengine kama Jehovah Witness wanasema hakuna kitu kama hicho na ni vitisho tu vya watu ili waweze kuogofya na kuwatawala wengine...

Niombee nisiende motoni Mama Mchungaji (kama kweli kuna moto!) [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
😂😂😏
 
Back
Top Bottom