cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kwetu shouzzz, magimbi sasa uwiiiihHahahaaa.. hapana mkuu hivo ndio vitu vyangu.. hivo mihogo magimbi viazi kwa sana yani!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kwetu shouzzz, magimbi sasa uwiiiihHahahaaa.. hapana mkuu hivo ndio vitu vyangu.. hivo mihogo magimbi viazi kwa sana yani!!
Weuweeeeeeeh babuu yangu huyoooo, [emoji7][emoji7][emoji7]
Mbna km hapa n magufuli hostel? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisa shos napenda sana magimbi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kwetu shouzzz, magimbi sasa uwiiiih
Yaan matamu mno, afu yanakua na unga unga wee, [emoji39][emoji39][emoji39]Acha kabisa shos napenda sana magimbi
Karibu mlo wa mchana 😎😎
Hii road km naijiua mbona, wallah hivi.Mchana mwema wakuu.View attachment 2136279
Niagizie Lemon Iced tea 🍵 nakuja 🙂Karibu mlo wa mchana 😎😎View attachment 2136281
usiwaze!! Badae ntasababisha..Yaan matamu mno, afu yanakua na unga unga wee, [emoji39][emoji39][emoji39]
Afu maeneo kule vipi, nasubiri.......
Inawezekana mkuuHii road km naijiua mbona, wallah hivi.
Wahi faster wanamalizia iandaa hapa 😊😊Niagizie Lemon Iced tea 🍵 nakuja 🙂
Weuweeeeh [emoji7][emoji7][emoji7]usiwaze!! Badae ntasababisha..
Sio Songea Vijijini?Inawezekana mkuu
Safi sana ndio inavyotakiwa.. na kweli ni good day.. $ 700 si haba 😎😎Mshkaji wangu anasema "Today is a good day". 🥳🥳 View attachment 2136295
Hapana" inaelekea Kwa wapogoroSio Songea Vijijini?