Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna madaktari haki ya nani walienda medical school ili kupoteza muda tu. Harvard graduate mzima eti kanishupalia niache kula ugali. Nikamuuliza unataka nile nini? Ananiambia eti salad na matunda. Sema tu ni pisi kali vinginevyo hata kibao angeambulia. Msukuma orijino tena wa Ntuzu kabisa niwe nakula majani kama sungura? Kwani nataka kuishi milele? Nevaaaa !!! [emoji123][emoji123][emoji123]

20220228_110424.jpg
 
Naona kuna pisi kali hapo pembeni Mtumishi. Shule inanogaa
Kuna mzungu hapa ana umbo la Kinyaki. Yaani ana shundu la uhakika. Kanifuma namwangalia akaishia kutabasamu tu. Ngoja nione itakavyokuwa. Nitaleta mrejesho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Kuna madaktari haki ya nani walienda medical school ili kupoteza muda tu. Harvard graduate mzima eti kanishupalia niache kula ugali. Nikamuuliza unataka nile nini? Ananiambia eti salad na matunda. Sema tu ni pisi kali vinginevyo hata kibao angeambulia. Msukuma orijino tena wa Ntuzu kabisa niwe nakula majani kama sungura? Kwani nataka kuishi milele? Nevaaaa !!! [emoji123][emoji123][emoji123]

View attachment 2136679
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu selfika wee mwenyewe, tukuone.
 
Back
Top Bottom