Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bina ningekuwa na shundu si mngenikoma. Ukivaa tu heels tunakuwa sawa wote[emoji23][emoji23]
Wee!ngoja nitume niliosimama asehh!
Shundu lipo Dada unalo Mimi bwana mmepigwa flat!!!!
Mjep atakua kafurahi sana maana alikua anatamani kuona sura angu live

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
😉

Screenshot_20220121-101013_WhatsAppBusiness.jpg
 
Sijui km kaona[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mimi hii wiki ni mtihani. Nafunga Kwaresima labda mambo yatabadilika. Yasipobadilika nahamia kwenye upagani. Si kwa kukosa neema za Allah huku kunakoniandama wallahi! [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Back
Top Bottom