nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,395
- 7,777
Huyo binti uliyemuweka katika avatar unamtambua?
Huyo binti uliyemuweka katika avatar unamtambua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepitwa tena woiiiiih
Ngoja nikafikirie nitakujibu, ila sasa shida yako hata nikikubali mapenzi yako ni ya public tu, tukiwa 'chobis' unakuwa mjeuri hatari..!!😂😂Mfungo mwema dada 🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Nakupenda 🧚
Kama C'ssy uliselfika na sijaiona na wadau walioiona wakajikausha peke yao bila kunitag, naomba wapigwe mawe mpaka kufa,😡Watu wa JF huwajui kwani? Wasipokusifia utaacha kuselfika 😂😂😂
Hahaaaaaa hii adhabuKama C'ssy uliselfika na sijaiona na wadau walioiona wakajikausha peke yao bila kunitag, naomba wapigwe mawe mpaka kufa,😡
Wapigwe wapigweKama C'ssy uliselfika na sijaiona na wadau walioiona wakajikausha peke yao bila kunitag, naomba wapigwe mawe mpaka kufa,😡
Camera Hd Sana mkuu
Nashukuru MkuuCamera Hd Sana mkuu
Nani?Another Rich Girl [emoji41]
[emoji1787]Ka mwadhibu Broker [emoji1476][emoji41][emoji1787]
Mkono umekaa mahala pake
Sinza hii au
Ngoja kwanza....ntafanya uzeeni 😁Hahaha, noma sana [emoji1787]Jaribu Tutorial kadhaa Youtube hamna shida [emoji41]
Weee....strategy gani hiyo expensive hivyo???😆😆😆Lete $ 1000 nikupe strategy
Kuna strategy hadi $ 5000 ukiunguza kwa kufuta strategy yangu nakutoa $ 2000.. ila kwanza tutajirishisha kabla ya kuwa refundedWeee....strategy gani hiyo expensive hivyo???😆😆😆
Acha tu niile taratibu.🙂
True dat!!👊🏾👊🏾Hahaaaaaa, lakini always uwekezaji una kula na kuliwa. Hata hivyo huyo atakuwa tayari anajua namna ya kulinda Capital