Kuna mambo wengine wakifanya inatosheleza sisi wengine. Na hili ni moja wapo.Hebu jaribu kuweka yako uoneshe mfano![]()
Nimeisoma hii comment na kisauti chako, hakii nimecheka 🤣🤣🤣nitakusemea kwa kaka mzuri unanichokoza
🤣🤣🤣🤣
Nimeisoma hii comment na kisauti chako, hakii nimecheka
Hayo mapicha sijui umeiba kwa uchwara unakuja kututisha tisha hapa, muone![]()

muone mwenyeweHahaha!the problem ni kua tunajulikana I'd ni fake so hatutaki kujulikana Sanaa!Hawa watu wanao futa picha aisee, wanatupa wakati mgumu sana.
Tena wameongezeka wawili, aaaaah tukae kwa kutulia sasa lolKabisa shos mbona kuvamiwa kwa selfika!!!!! Sitaki mie uuwiii!!





Sina hamu mimi shos jana nilikoma!!!Tena wameongezeka wawili, aaaaah tukae kwa kutulia sasa lol![]()
Haina shida, tuanze kushiriki.Uzuri kwenye hili inafaa sote tushiriki..
Hunyimwi vyote bila shaka unavyo vizuri ukiacha hiyo sura.Wee!hakuna maajabu best!we unajua sura za wife materials!???!! Utakua disappointed na miili ya kukauka ya kama mti!
Basi uwe unanitag wife material. Usinisahau.Hahaha!the problem ni kua tunajulikana I'd ni fake so hatutaki kujulikana Sanaa!
Depal imagine nilikuwa najua kuchambana kiasi hiki walaqhi'..! Sahii nimeokoka Nampenda Yesu..!Binti,
Nadhani kuna mambo mengi yenye tija ya kufanya kuliko huu upuuzi wa kujifanya unajua kuunganisha dots za watu usiowafahamu humu ndani.!!
Would you please do me a favor by minding your own fqng business na uache kufanya huu upuuzi unaofanya hapa?? don't try to be nosy kwa watu usiowafahamu,
Huu upuuzi wa kujifanya unanijua sana unaanza kunifananisha na raia wengine naomba mwisho wake uwe hapa!!
Jipongeze kwamba nimekuheshimu sana!! Ukipata muda hebu jaribu kufanya mambo ya msingi..!! Halafu heey' mbona umekomalia sana?? What's wrong with you?? Do we know each other maybe??