Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,034
- 6,038
Kwa umri wangu huu kweli nishindwe kutofautisha mkanda na kiuno. Ntakua wa ajabu sana.Mkanda haujawahi kumkataa mtu,hata uwe na tumbo kama pipa.
Kwa umri wangu huu kweli nishindwe kutofautisha mkanda na kiuno. Ntakua wa ajabu sana.Mkanda haujawahi kumkataa mtu,hata uwe na tumbo kama pipa.
wweeeehh muda wote huo vale !!Aise sijaona jamani. Rudia plz
Ukituma usifute mpaka nionelol Brian Spilner dizain yuko kimya sana humu....
Hellow Brian.
Utawasimulia kina Valentina na cocastic

Hiiiiiiiii tangu saa 2 asubuhi Mpaka saa 1 Jioni dahhh!!Ukituma usifute mpaka nione![]()
Mambo mazuriNivipatavyo Kwako kwingine sijaonaaaa
na ukiniumizaa majeraha sitaponaaa
#Just singing#
View attachment 2132136

🤩🤩🤩😘✌️✌️Mambo mazuri![]()
Niwe mwalimu wako was mazoeziNivipatavyo Kwako kwingine sijaonaaaa
na ukiniumizaa majeraha sitaponaaa
#Just singing#
View attachment 2132136
Kabisa yani mkuu... navopenda kuimba huku nacheza sasa! Napenda mnooo!!!!!Niwe mwalimu wako was mazoezi
Boss ladyNivipatavyo Kwako kwingine sijaonaaaa
na ukiniumizaa majeraha sitaponaaa
#Just singing#
View attachment 2132136
Huwa unazioteaga kweli kweli.. Itakua ulichanjiwa si bure!🤣😜Boss lady
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 leo nimeapa kutokubanduka hapaHuwa unazioteaga kweli kweli.. Itakua ulichanjiwa si bure!🤣😜
Nikupe location uje kunywa juice?
Asiingie mitini tuuHahahaaa... tunasubiria ya cocastic alituahidi atatuma usiku!
Kumbe, Mimi napenda dance workout hasahasa za Salsa, rumba na Samba.Kabisa yani mkuu... navopenda kuimba huku nacheza sasa! Napenda mnooo!!!!!