cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,277
Ili mnione nilivyokuwa kituko au siyo?![]()



wee leo umetoka full kutupia yaan, umepiga penyewe, au trio ya kwa shem nn? Jokes huhuhuhIli mnione nilivyokuwa kituko au siyo?![]()



wee leo umetoka full kutupia yaan, umepiga penyewe, au trio ya kwa shem nn? Jokes huhuhuhHallelujah. Igweeeee PepHapana
Leo kupatwa kwa suruali.
Nimeona nisibaki nyuma..hadi mama yetu mh Rais anavaa kama hizi;mimi ni nani nisijaribu?







SanaaaMnafuraaahi
Waone kule!
Usiku nitapost. Nipo mjini now napuyanga na kitenge changu wasije wakani-zoom kimyakimya wakulungwaHeaven Sent mama malezi leo umeweka picha yako, afu mie sijaona plz fanya uweke nikuone, afu j5 nakuja moro hope ntakuona live![]()
Nipo nazurula tu mjini hapawee leo umetoka full kutupia yaan, umepiga penyewe, au trio ya kwa shem nn? Jokes huhuhuh
Mama mchungaji weka full hata sekunde 2 tuu
Kwa sababu umenihujumu basi na mimi nawahujumu wote wewe na mwenzio,siwapi full.Sanaaa
Picha namba moja nimeona kiuno matata.
Toa basi huo mkoba 😅😅
Eti dogo,mimi ni nani?khaaaaah
Ntaipata tuKwa sababu umenihujumu basi na mimi nawahujumu wote wewe na mwenzio,siwapi full.
Mkanda haujawahi kumkataa mtu,hata uwe na tumbo kama pipa.Picha namba moja nimeona kiuno matata.
Ngoja tuone unavyotenda huo muujiza🤣Ntaipata tu
Usiku nitapost. Nipo mjini now napuyanga na kitenge changu wasije wakani-zoom kimyakimya wakulungwa






wacha wee uko mitaa ipi ya ofisi ya mkoa au kule karume downtown? Baadae sibanduki yaan hapa.






unaenda wapi mbna km n daraja la kijazi Uwiiiiih