Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata sauti haitoki vizuri mzee ushabananishwa hapo hupumuiii[emoji23][emoji23][emoji1787]
Unajikuta unamwambia babe kuna cheque yako ya milioni 12 nenda ukanunue IST, na kile kiwanja chako Cha Bonyokwa kesho napeleka tofali 4500 ukaweke vyumba 3.

Ukifanya hivyo unajikuta unapewa mitindo yote hadi unajikuta unakata moto katikati ya mchezo🙈🏃🏃🏃🏃
 
Hahahaaa..siyajui snap kidogo utupie nilione🤣🤣🤣
Screenshot_20220226-135754.jpg

Shangazi Kaja hizo
 
Unajikuta unamwambia babe kuna cheque yako ya milioni 12 nenda ukanunue IST, na kile kiwanja chako Cha Bonyokwa kesho napeleka tofali 4500 ukaweke vyumba 3.

Ukifanya hivyo unajikuta unapewa mitindo yote hadi unajikuta unakata moto katikati ya mchezo[emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka nusu niangushe cm wallah,
 
Back
Top Bottom