cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,264
Weuweeeeeeeeeh.! Usiwaze Badae ma mtumishi leo nina mood ya kuselfika balaa



Weuweeeeeeeeeh.! Usiwaze Badae ma mtumishi leo nina mood ya kuselfika balaa



Endelea kuselfika mkuu uibariki weekend yetuYes sir
Na mimi sitoki hapa leo sibandukiii😂😂😂😂😂😂! Usiwaze Badae ma mtumishi leo nina mood ya kuselfika balaa
Sijaliona mkuu!!! Hamna mi mwenyewe sijui kwanini!Mkuu mbona hujajibu swali langu! Ukiniona tu unaahirisha kutuma picha..I must be a scary lion dadeq!
Basi ili kuondoa hofu yako kwangu tupia moja matata hapa...kuanzia hapo hutapata kuweweseka tena.😂Sijaliona mkuu!!! Hamna mi mwenyewe sijui kwanini!
😂😂😂😂😂😂😂 Ok .Stay there;Basi ili kuondoa hofu yako kwangu tupia moja matata hapa...kuanzia hapo hutapata kuweweseka tena.😂
Asante, piga picha hiyo Asante nikiwa naitoa mahali pake na Uzee huu inatoka huku inatetema As...ante.eee, asa...nteeee 🙊🙊Wazee ndio wazuri Vijana mambo mengi!😜😜😜😂
Naunga mkono hoja hii kwa nguvu zotee mahondaw fanya mambo mkuuBasi ili kuondoa hofu yako kwangu tupia moja matata hapa...kuanzia hapo hutapata kuweweseka tena.😂
AiseeeeeeNipe beat kwanza shem lakee!! liwe la amapiano lakini.. View attachment 2131797
Mkuu Mjep pitia hapa mzee! Hatari hii jamani...Nipe beat kwanza shem lakee!! liwe la amapiano lakini.. View attachment 2131797
Beat pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!!! Iyooooo iyooooo iyoooo aiyona iooo!!!!!🤸🤸🤸🤸🤸Aiseeeeee
Watu wamejaaliwa balaaaa
Big up boss lady
Kumbe huwa nakosa vingi humu, ngoja nivae Miwani yangu nione vizuri Neema za uumbaji 😍Nipe beat kwanza shem lakee!! liwe la amapiano lakini.. View attachment 2131797
Mkuu nipoMkuu Mjep pitia hapa mzee! Hatari hii jamani...
Shangazi kaja 😂😂😂🤣🤣!!View attachment 2131795
Mji Kasoro bahari
Valentina jiandae kunipokea Stendi ya Magufuli ndiyo nakuja DSM, nitakuwa nimebeba begi langu la Shangazi kaja 🙊🏃🏃🏃
Mkuu hii ni hatari nyingine asee! Kweli wenye visu vikali wanafaidi!!Mnapeana pasi wenyewe!!