Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,858
- 141,280
location!!🤩Jumuia
Sabath
Saturday vibes
Jumuia
Sabath
Saturday vibes
tandale kwa tumbolocation!!🤩
Poleni sana, Mungu awape faraja kipindi hiki kigumu.Mwaka unaanza vibaya mapema.
Mjomba.
Namuonea huruma maza yaani.
nasali jumuia rafiki mremboMjeda Tupia vibe la satadei monie basii!
🤣🤣🤣🤣🤣 basi sauwaaa!!✌️🚶🏾♀️✌️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️nasali jumuia rafiki mrembo
hahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣 basi sauwaaa!!✌️🚶🏾♀️✌️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️
View attachment 2130533
What type of photography is this?(2 Marks)
What is the time when the photography was taken (2 marks)
What are economic activities carried out in that area? (6 marks)
Geography ni [emoji119][emoji119]
🤣🤣🤣🤣sasa hivi nitakuwa napost picha tu sitosema na mtu 😃😃
hahahaha.kipenzi uko kimya sana. Post pic kbs ya kuanzia jmos🤣🤣🤣🤣sasa hivi nitakuwa napost picha tu sitosema na mtu 😃😃
Welcome back 💞💞
Hatari mkuu, anampunga sanaHuyo mlimbwende atakuwa alimake sana hela kupitia kazi zake za Sanaa, kumiliki gari Kali hivyo with her name on plate number si mchezo [emoji119]
Mhhh😃😃😃😃 mkuu ma story tu humu.. ila ukinikuta live nipo kama broiler...
nimekuwa humu zee la fix sana humu jamvini... itabidi nibadili uhusika sasa
😀hahahaha.kipenzi uko kimya sana. Post pic kbs ya kuanzia jmos
Paja
Hayo ni mafuta ya nazi mkuu miaka nenda miaka rudiPaja
Linameremeta
Itakuwa vaseline imehusika[emoji1787]
Hakuna lotion hapo
KwaniHayo ni mafuta ya nazi mkuu miaka nenda miaka rudi
Teh teh tehKwani
Nimebisha[emoji1787]
Nakubali kwa % zote