Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo mlimbwende atakuwa alimake sana hela kupitia kazi zake za Sanaa, kumiliki gari Kali hivyo with her name on plate number si mchezo [emoji119]
Angalia vizuri

Kuna plate # nyingine

Juu ya hilo jina[emoji1787][emoji1787]

Halafu huyo nalisikia

Wakisema

Naniliu ina niniliu[emoji848]
 
😃😃😃😃 haya acha nitulie ila nimetaja magonjwa yanguu.. nikiona pini kwenye ulimi, puani, kitovuni, na sikioni... tatoo kwenye mguuu na kiunoni kidogo kwisha kabisaa.. na kikuuu cha gold flani hivi na ka pete kwenye kidole mimiii kufa kabisaaa
halafu vyote hv awenavyo binti mmoja,na kitandani awe fundi sio?
 
Back
Top Bottom