Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
ππππ$75,000![]()
ππππ$75,000![]()
Sinza hapa.. si unajua tena viungwa vyangumsitu upi nipite hapo? Twiga unaua km una 'kibali maalum'
navizia mpira ulio kufamsitu upi nipite hapo? Twiga unaua km una 'kibali maalum'
niko vitasaSinza hapa.. si unajua tena viungwa vyangu
hahaha set piecesnavizia mpira ulio kufa
karibuniko vitasa
nakuja kwa love
then nianze mawindo
Navizia kama ruud van nistelrooyhahaha set pieces
hahahaha,mmewakuta wakutosha?mtu chake tumekuja kamata watu hapa... inasikitisha sanaView attachment 2131391
inasikitisha sana, mlango mmoja ndio ufala walio fanya mwenye hiki ki guest danguro kama panzi tu.. vi brother men na mzee mmjoa ndio kanisikitishahahahaha,mmewakuta wakutosha?
piga makofi tupa mabatini.asubuhi wafanye usafi kituoni.umekuta vimekuja kununuainasikitisha sana, mlango mmoja ndio ufala walio fanya mwenye hiki ki guest danguro kama panzi tu.. vi brother men na mzee mmjoa ndio kanisikitisha
πππππ vinakula vingine vinasubiri wengine wale viingie navyo, wanapokezanapiga makofi tupa mabatini.asubuhi wafanye usafi kituoni.umekuta vimekuja kununua
hahahahaha,dahπππππ vinakula vingine vinasubiri wengine wale viingie navyo, wanapokezana
Nimekumbuka miaka ya 2009 niliotewa Ohio na wale ma mwela wa mitaa ya ubalozi.. jamaa hajanikuta nanyandua wala nini nilikuwa nazingua, kanipiga mkubeto.. nikaanza kumlia timing na hesababu za kumuacha.. ile tunaelekea mirambo Street nilimtega na mguu ile kucheza nika msukuma.. ndukiii aliona manyoya tu na kunitishia na smg yake..hahahahaha,dah
hahahaha.ohio game kwa babu .nyuma ya IT plaza.babu anakupa boxNimekumbuka miaka ya 2009 niliotewa Ohio na wale ma mwela wa mitaa ya ubalozi.. jamaa hajanikuta nanyandua wala nini nilikuwa nazingua, kanipiga mkubeto.. nikaanza kumlia timing na hesababu za kumuacha.. ile tunaelekea mirambo Street nilimtega na mguu ile kucheza nika msukuma.. ndukiii aliona manyoya tu na kunitishia na smg yake..
πππππ wakati mwingine kwenye uwanja wa golf wa serena hotel, ile fans kuna mahala kuliluwa na tobo.. mnapenya kama sungurahahahaha.ohio game kwa babu .nyuma ya IT plaza.babu anakupa box
Hahahahaπππππ wakati mwingine kwenye uwanja wa golf wa serena hotel, ile fans kuna mahala kuliluwa na tobo.. mnapenya kama sungura
ππ babu mwingine yule jolie pembeni pale.. askari walikuwa wanafaidi sanaHahahaha
Hahaha......kweli Mjini mipango πππMjini
Mipango