Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
My ex una vidole vizuri

My ex una vidole vizuri

Ni muda mrefu mkuu, hata wiki 3 or 4Oh!!sawa
Huwa wanakuwa salama kwa kuliwa ndani ya muda gani?
Wana kikomo/ukomo wa muda?
Nauliza hivyo kwa sababu kuna mtu(muhaya)hapa kawapenda/tamani sana hao senene anataga aagize
Adhabu unayotaka kunichagulia ni kubwa mno mno mno...Njoo nikuzoeshe for a week uone....🙂
Tutaanza kuonja wote 😁
Misibani huwa ni kwenu pale au unawaonjeaga kama kimeiva?Uzuri silagi kwa watu..😂
My ex nina JD yakoNawe karibuView attachment 2124900
Mkuu acha vitimbi..😂Misibani huwa ni kwenu pale au unawaonjeaga kama kimeiva?
Bhasi nahitaji hizo tatuNi muda mrefu mkuu, hata wiki 3 or 4
Usijali nipo makini, labda niamue mwenyewe hamnaga masikhara, ni uamuzi kabisaKimasihara 😎😎
Nirushie ninywe mwenyeweMy ex nina JD yako

Ahaaa tunywe wote my exNirushie ninywe mwenyewe![]()
Mimi na Lizzy hatutofautiani sanaNikitaka kukupa adhabu,namuomba Lizzy akae na wewe wiki 1 tu...
utanyooka,ule mlima wote hujashiba! wakati angekua muonjaji Lizzy...
ulichobakisha ndio angekua kakila,na ulichomaliza chote kingebakshwa...
Maisha yanaenda kasi😂
Umeanza lini kuwa muongo?😁😂😂My ex una vidole vizuri![]()
Kwa leo ninywe mwenyewe then next time tutakunywa wote my exAhaaa tunywe wote my ex
Mkuu wewe unadhani hata week itaisha walivyowatamu na wanavotamanisha kula, hautoamini😂😂 wanakaa muda mrefu sana hadi 4 weeks as ni wakavu so kuharibika si rahisiVi 5 havitaharibika kweli? kwenye fridge maxmum n siku ngapi?
maana lile fridge lina kila harufu,sasa senene nao piece 5 hzo lazma zfke december