CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,087
- 23,869
Maana chakula chake mimi niki kiangalia tu "tayari kishaisha"Inabidi uwe umekula kwanza then unaenda kuonja hicho chake😅
Maana chakula chake mimi niki kiangalia tu "tayari kishaisha"Inabidi uwe umekula kwanza then unaenda kuonja hicho chake😅
Natamani ila sijawahi kulaSunday tulivu, karibuni sana TZS 5000@ nafanya delivery popote ndani ya Dar. Ila utachangia cost kidogo
View attachment 2124856
Mkuu transportation charge yake si chini ya 10000, sasa senene 5000 then kusafirisha 10000😒, kama uko tayari gharama za usafirishaji juu yako mkuuMkoani hutumi?
Jaribu dear hautajutia ni wazuri sanaNatamani ila sijawahi kula
Sasa ndo unune..🤣🤣Mkuu transportation charge yake si chini ya 10000, sasa senene 5000 then kusafirisha 10000😒, kama uko tayari gharama za usafirishaji juu yako mkuu
Dah sawa utaletewa mkuu, ila hadi kula huwezi mwenyewe hadi ulishwe mkuu😜Kama uta ahidi kuniletea wewe binafsi na kuahidi kunilisha Mteja
basi sina budi kutoa location ya nilipo niletewe Protin hizo
Sijanuna banaSasa ndo unune..🤣🤣
😂😂😂Maana chakula chake mimi niki kiangalia tu "tayari kishaisha"
Labda sikujui..😂Sijanuna bana
Na huku maporini huwa unafika?😁Jaribu dear hautajutia ni wazuri sana
Nakufikia popote ndani ya Dar dear😀Na huku maporini huwa unafika?😁
Atathibitisha mwenyewe hapaAnaitaka??
Niko tayari....nipe utaratibu wa namna ya kuwapa hao seneneMkuu transportation charge yake si chini ya 10000, sasa senene 5000 then kusafirisha 10000, kama uko tayari gharama za usafirishaji juu yako mkuu
Kabisa mkuu wangu
Nawe karibu
Dalili za unene hizo
Wako tayari so uniambie tu tuwasafirishe lini ili wakufukie ulipo mkuu na unahitaji pieces ngapi?Niko tayari....nipe utaratibu wa namna ya kuwapa hao senene