Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220216-064738.jpg
 
loohhh!!!musukuma ndani ya penzi la kizaramo lazma uombe poo!!kupika asili yetu aseehh!!sijisifu Ila watu wa pwani wanajua kupika!!!Mi napenda sanaa kupika Shem niliendaga usukumani mpk Leo Hawanisahau kwa mapishi,kulima siwezi,kutwanga siwezi nilipewa sekta ya jikoni tu!nlikua nkienda wanafurahia balaa!!!then nkajifunza kupika mlenda wa Karanga, mama anasema "mwinga wangu amekuja sasa tunakula kujiramba"
Aisee. Uliwapatia kwa kweli. Wasukuma kwa vyakula kwa kweli tuko vizuri.

Ulipelekwa shambani ukachemsha? Kama nakuona vile. Ukapewa kutwanga mahindi napo holaa viganja vya motoo!. Vipi kuchunga ng'ombe uliweza au kwa wakwe ilikuwa mjini?

Kwa penzi Wazaramo sitaki hata kuwasikia aisee
 
Your Kingdom come around and through and in me
Your power and glory, let them shine through me.
Your Hallowed Name, O may I bear with honor,
And may Your living Kingdom come in me.
The Bread of Life, O may I share with honor,
And may You feed a hungry world through me.

Amen, Amen, Amen

images%20(14).jpg
 
Back
Top Bottom