Kwa sisi ambao tulikimbia umande wa asubuhi imebidi tukatafute tafsiri:
Amen Mkuu
Halafu unajua hakuna mtu hapa kwa sasa. Hebu selfika halafu ufute ghafla nifaudu kwa raha zangu [emoji1545][emoji16]Amen Mkuu
Sina hata mood ya picha leo rafiki.Halafu unajua hakuna mtu hapa kwa sasa. Hebu selfika halafu ufute ghafla nifaudu kwa raha zangu [emoji1545][emoji16]
Dah!Sina hata mood ya picha leo rafiki.
Asante nitakuwa sawa tu .Dah!
Pole. I hope you are OK [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Usitufanyie hvyooSina hata mood ya picha leo rafiki.
Ngoja niangalie ya zamaniUsitufanyie hvyoo
SaaafiiiiNgoja niangalie ya zamani
Inaonekana hayuko OK. Tumuombee ajisikie vizuri na akawe na siku njema iliyobarikiwa. Wewe vipi? Mbona mapema namna hii? Mulangira anazingua nini! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Usitufanyie hvyoo
Leo nina bahati balaa yaani. Safi sana shem. Kaka yangu boya naye kaachia malaika cheupe toli kimodo maridadi. Wasukuma wengine sijui wakoje [emoji706][emoji706][emoji706]
Ameen ameen!Inaonekana hayuko OK. Tumuombee ajisikie vizuri na akawe na siku njema iliyobarikiwa. Wewe vipi? Mbona mapema namna hii? Mulangira anazingua nini! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!hatuna manyama ndo maana tumekimbiwa!watu wanataka mahagaa,manunduuuLeo nina bahati balaa yaani. Safi sana shem. Kaka yangu boya naye kaachia malaika cheupe toli kimodo maridadi. Wasukuma wengine sijui wakoje [emoji706][emoji706][emoji706]
Ukawe na kazi njema shem. Na leo ikawe mojawapo ya siku zenye mibaraka tele na furaha. Hata huyo aliye mikoani huko usihangaike kumuwaza na senene zake za Italy. Today is only you my shem [emoji1420][emoji1420][emoji1420]Ameen ameen!
Niko najiandaa kwenda kazini..
[emoji1][emoji1]hayupo yupo mkoa..shimba wanchekeshaa!!!
Hapana. Huyo bro atakuwa na lake jambo. Au ni wale Wasukuma wa zamani waliolelewa kwenye mfumo dume na polygamy. Wakipata vihela tu basi kitu cha kwanza ama ni kuongeza wake au michepuko. Wala siyo kosa lako shemu hata siku moja usikae ukajilaumu...By the way asingeenda zake senene za Italy ungezionja lini? Good riddance shem [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!hatuna manyama ndo maana tumekimbiwa!watu wanataka mahagaa,manunduuu
Ameen Shem ubarikiwe tena na tena busara zako ziongezeke zaidi na zaidi ubarikiwe na familia yako!Ukawe na kazi njema shem. Na leo ikawe mojawapo ya siku zenye mibaraka tele na furaha. Hata huyo aliye mikoani huko usihangaike kumuwaza na senene zake za Italy. Today is only you my shem [emoji1420][emoji1420][emoji1420]