Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Huoni kama najiongeza au?😅Ewaaa
Utende muujiza sasa,jiongeze.
Huoni kama najiongeza au?😅Ewaaa
Utende muujiza sasa,jiongeze.
Sheikh Kipozeo. Kama kuna siku nitaslimu basi ni kwa sababu ya huyu mwamba. Mizigo shekhe...halafu anatwanga Kiarabu na makwotesheni kibao ya mitume ili kuthibitisha hoja zake. Ni burudani tosha hata kama huelewi anachokisema![]()



akithibitisha na mm nitaslim aisee yule shehe anafurahisha sana🤣🤣🤣Huoni kama najiongeza au?😅
toka umekuwa mda es salaam.. nawe umebadirika 🙄🙄🙄Mungu anakuona ujue😂
Good sana mkuuBado nalinda capital. Nyie mpo mbali Sana hata sl hamuijui.
Jakobo alikuwa na Rachel, Leah, na maumbu mawili.. kuna raha ya wake wanne itakuwa... sema toka mwanzo aliumba mume na mke na sio mume na wakee 😀😀😀😀😀akithibitisha na mm nitaslim aisee yule shehe anafurahisha sana
Najiongeza sn naamini yupo mmoja atanielewa soon😅🤣🤣🤣
Wakristo wangeruhusu wake zaidi ya mmoja maana mwanaume tunapenda vitu tofauti tofauti kwa wanawake au mtaalamu unasemajeJakobo alikuwa na Rachel, Leah, na maumbu mawili.. kuna raha ya wake wanne itakuwa... sema toka mwanzo aliumba mume na mke na sio mume na wakee![]()
Nimebadilika mimi au wewe?toka umekuwa mda es salaam.. nawe umebadirika 🙄🙄🙄
Safi sanaNajiongeza sn naamini yupo mmoja atanielewa soon😅
Nakuona tu ipo siku nitakutoa ghafla tu 😎😎Nimebadilika mimi au wewe?
😀😀😀😀. Mkono unaungwa asee.. kamoja hakatoshi, tunainyima nafsi kweli..Wakristo wangeruhusu wake zaidi ya mmoja maana mwanaume tunapenda vitu tofauti tofauti kwa wanawake au mtaalamu unasemaje
Never mind my imperfections this is fact, remember thatBrush the dirt off your jersey then go for the cup
Or the trophy or the ring, champion no matter what
'Cause when you got the belt and the ring
People with ya popping bottles, taking pictures look around
As soon as you fall down all the haters passin' judgement (oh no no)
Fly I'm is shawty, I'ma rise above this (oh no no no no no)
View attachment 2120843
chukua desa hiliBado nalinda capital. Nyie mpo mbali Sana hata sl hamuijui.
Sitaki mambo ya ghaflaNakuona tu ipo siku nitakutoa ghafla tu 😎😎
Ukitoka kazini njoo mahala kama hutaki mshitukizo 😎😎😎😎Sitaki mambo ya ghafla
Unajua pa kunipata ila hutaki tu kuja.Ukitoka kazini njoo mahala kama hutaki mshitukizo 😎😎😎😎
Mie sio mtembeaje ujue eeh 😀😀😀Unajua pa kunipata ila hutaki tu kuja.
Eeeh!??Mie sio mtembeaje ujue eeh 😀😀😀