Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Mwili mbona umekaa mkao kabisa huo unataka ubaki kimbao mbaoWeee....embu nishauri nipunguze zaidi mwili ukate bana![]()
Mwili mbona umekaa mkao kabisa huo unataka ubaki kimbao mbaoWeee....embu nishauri nipunguze zaidi mwili ukate bana![]()
Tupia hata ukucha tu.. inatosha.. mie natupiamo wala hakuna shida 😀😀😀😀😀.. ewaaa bibi alie changamkaNikitupia kidole gumba nayo pia si selfie...???😅
Ila nikitupia na wewe unatupia.... tukubaliane vivyo...
Ila Kasinde sio Shangazi ni bibi.
Thanks 9.8ms squared ☺ Inshallah Mungu akasikie 😇Nakukubali sana mkuu.. Mungu akupe maisha marefu.. upo simple short and clear 💪💪💪💪
😒😒😒😒😒Huogopi kabisa kuweka hizo emoji?
Zaidi ya pigo za kitasha.. mtu mwenye roho nyeupe utamjua tu mkuu.. mkuu hapo roho yake nyeupe pee.. watu wa hivi hata maisha huwa wanafanikiwa sana..Dawa Sana , all in all nakukubali Sana una pigo za kitasha
Not kimbao mbao....just FIT! Ngoja siku nikifikia malengo utaniambia 😏Mwili mbona umekaa mkao kabisa huo unataka ubaki kimbao mbao
Hapo ulipo umaintain hapo hapoNot kimbao mbao....just FIT! Ngoja siku nikifikia malengo utaniambia![]()
Kweli Kaka I see it in her.. oya nipe maagizo kwa Antonia wako pale caskZaidi ya pigo za kitasha.. mtu mwenye roho nyeupe utamjua tu mkuu.. mkuu hapo roho yake nyeupe pee.. watu wa hivi hata maisha huwa wanafanikiwa sana..
Wewe huyuhuyu?😒😒😒😒😒
KhaaaYale hayaachiki dada![]()

Nilikuwa nimemsahahu.. nime kamis kampenzi kangu.. code mandevu mwenye noah nyeusi anamsalimia akishindwa elewa mandevu geita anamsalimia.. ukikutana na naomi muambie Levi ana msalimia 😀😀😀😀.Kweli Kaka I see it in her.. oya nipe maagizo kwa Antonia wako pale cask
😊😊😊 alfu kama shuka langu mbonaaa 🤔🤔🤔 au tunaishi kwenye apartment moja
😔😔😔😔😔Wewe huyuhuyu?
Shem visu vya nn tena,, makubaliano yalikuwa visu vyatumiwa kukata nyanya jikoniKuna utani mwingine wa kisen.ge sana huwa natamani hata nichome mtu kisu akafie mbele!
😊😊😊 alfu kama shuka langu mbonaaa 🤔🤔🤔 au tunaishi kwenye apartment moja
😀😀😀😀😀😀😀😀.. anonymous muhimu sana.. mapaparazi wengi wasije tega vya kutega siku ya siku ukajikuta font page kwenye thread ya selfikaOohhoooooo usiendelee mbele anonymous ndo mpango mzima humu. 😆😆😆😆
Yawezekana kabisa tunapishana parking na kupigana bumping on the way...😁😁