Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220215-212327.jpg
 
Daaah, nilikuwa sijaifatilia. Mimi mwenye mtaji wa mbuzi naangalia kwa mbaali. Inawafaa nyinyi wenye 5-figures capitalView attachment 2120471
Nimependa trading style yako.. una focus na single pair kwanza nzuri sana.. jana WTI mida kama hii ilitoa jasho 😀😀😀 nilikuwa nime sell around kwenye 90 ikafumuka hadi 93.84 ikaenda aginst na mimi nilichofanya nikafungua position kama mvua ilipokuwa 93.84 nilijua lazima ishuke.. kilichopelekea kauli zao za Rusia na Ukraine.. ila ilinibana sikulala hadi saa tisa alafajiri
 
Nimependa trading style yako.. una focus na single pair kwanza nzuri sana.. jana WTI mida kama hii ilitoa jasho [emoji3][emoji3][emoji3] nilikuwa nime sell around kwenye 90 ikafumuka hadi 93.84 ikaenda aginst na mimi nilichofanya nikafungua position kama mvua ilipokuwa 93.84 nilijua lazima ishuke.. kilichopelekea kauli zao za Rusia na Ukraine.. ila ilinibana sikulala hadi saa tisa alafajiri
Bado nalinda capital. Nyie mpo mbali Sana hata sl hamuijui.
 
Ooh pole kwa kukosa kazi yenye malipo ya uzito (pound) [emoji28][emoji28] joke [emoji1787]

Sasa we uliona wapi msukuma akatulia ndani ya suti...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Itakuwa ulisumbuka sana na koti mara uweke mikono mfukoni mara utoe leso kwenye mifuko ya ndani ya koti hata watahini wakahofu unataka kuwabastola [emoji28][emoji28][emoji28]

Speaking of Pitzza, if you wanna kill Kasie just spray poison on a pizza [emoji487], ill die softly while chewing [emoji22].

Let Thursday come, I'll tropical myself at the pizzeria [emoji4][emoji4].

Cheers to your queen, if she love travelling like Kasie, ill offer a heart pizza for her and a trip to Mongolia.

Happy Tuesday.View attachment 2120357
Kiporo kinapashwa. [emoji39][emoji39]

17% ABV eeeh!...Siyo mbaya ila panda panda kidogo ufike angalau kwenye 32% au 40% huko ili uchangamke mapema...

Pizza is so overrated. Ni mafuta matupu mnakulaga yale. Halafu ubaya sasa hata hamjui ni mafuta gani yaani....

This queen is a traveller for sure. She has taken many solo trips to Bongo and Kenya...and she has been to Italy and UK by herself. I can ask her to visit you in Sandhurst. Just send the official invitation [emoji16][emoji16][emoji1420]
 
Kuna shehe Fulani alisema peponi tunapewa mizigo [emoji28]
Sheikh Kipozeo. Kama kuna siku nitaslimu basi ni kwa sababu ya huyu mwamba. Mizigo shekhe...halafu anatwanga Kiarabu na makwotesheni kibao ya mitume ili kuthibitisha hoja zake. Ni burudani tosha hata kama huelewi anachokisema [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom